Saudia yafuta uhusiano na Iran

Saud Arabia imesitisha uhusiano wa kidiplomasia na nchi ya Iran na huku kukiwa na hali mbaya ya mvutano kufuatia utekelezaji adhabu ya kifo kwa mhubiri maarufu wa dini ya kiislamu kutoka mjini Riyadh . Waziri wa mambo ya kigeni wa Saud, Adel al-Jubeir, ameishutumu serikali ya Iran kwa kusambaza silaha na kuanzisha jela na kuwafunga watu...
Read More >

No comments:

Post a Comment