Serikali yasitisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, yajielekeza kuziimarisha Bandari za Dar na Mtwara

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema ujenzi wa bandari ya Bagamoyo utasubiri hadi kukamilika kwa uongezaji wa kina cha maji katika Bandari ya Dar es Salaam na uboreshaji wa Bandari ya Mtwara. Profesa Mbarawa alisema mbali ya kuongeza kina katika bandari ya Dar es Salaam, pia kipaumbele kikuu ni kujenga gati namba 13 na 14 zinazopigiwa kelele. Akizungumza...
Read More

No comments:

Post a Comment