Zari na Wema Sepetu watukanana Instagram, soma walivyovuana nguo!

Vita vikali vya maneno vimezuka Instagram kati ya Zari the Bosslady na Wema Sepetu. Vita hivyo vilianza baada ya kile kinachoonekana kuwa ni maneno kutoka kwa kambi ya Wema Sepetu kwenda kwa Mama Tiffah. Zari aliamua kutoa ya moyoni kwa kuweka comment kwenye post yake mwenyewe baada ya matusi kutoka kwa kambi ya Wema kuzidi. “Fake cars, fake houses, fake men, fake everything but they are...
Read More

No comments:

Post a Comment