Watu wanne wamefariki dunia katika ajali baada ya basi la Mashimba Express lililokuwa linasafiri kutoka Kahama kwenda jijini Mwanza kugongana na gari dogo katika eneo la njia panda kuelekea wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga Ajali hiyo imetokea jana jioni ambapo mashuhuda wa tukio hilo wamedai kuwa ilisababishwa na gari ndogo iliyokuwa katika mwendo kasi ambayo ilipoteza...
No comments:
Post a Comment