Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani Kilimanjaro imeteketeza lita 140 za gongo, mapipa 40 na mitambo sita ya kutengeneza pombe hiyo haramu vyenye thamani ya Sh10 milioni. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala, alisema hayo mwishoni mwa wiki iliyopita wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Wilaya ya Rombo Alisema mitambo hiyo ya gongo ...
No comments:
Post a Comment