Mramba Afunguka Kuhusu Maisha Ya Gerezani.....Aishauri Serikali Kuwatumia Wafungwa Wenye Utaalumu Badala Ya Kuwarundika Gerezani

Aliyekuwa  Waziri wa Fedha katika Serikali ya awamu ya tatu, Basil Mramba, ameishauri Serikali kuhakikisha inawatumia wafungwa kutumikia jamii badala ya kuwarundika magerezani. Amesema pamoja na hayo, maisha ya gerezani si salama na si njia pekee ya kumrekebisha mhalifu aliyehukumiwa na mahakama. Kutokana na hali hiyo, alisema kuna haja kwa Serikali kuanza kutumia sheria namba 6 ya...
Read More

No comments:

Post a Comment