Mtanzania auawa Nairobi ,baada ya kuwashambulia na kuwaua watu wawili katika kasino.

Watu walioshuhudia tukio hilo wanasema mwanamume huyo alikuwa amepoteza $300 akicheza kamari.

No comments:

Post a Comment