Waziri zamani, Joseph Mungai amerejesha sehemu ya ardhi ya Hospitali ya Wilaya ya Mufindi, aliyodaiwa kuihodhi kinyume cha sheria. Baada ya hatua hiyo ya Mungai ambaye aliwahi pia kuwa Mbunge wa Mufindi, Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Dk Hamisi Kigwangalla ametoa siku saba kwa uongozi wa hospitali hiyo kujenga uzio ili kulinda mipaka yake. Pia, ameutaka kupeleka ofisini kwake, ramani...
No comments:
Post a Comment