Nape Nnauye Ataka Magazeti Ya Serikali Yamsaidie Rais Magufuli Kutumbua Majipu Kwa Kuibua Uozo Serikalini

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ametaka magazeti ya Serikali kumsaidia Rais John Magufuli, kutumbua majipu kwa kuibua uozo serikalini. Akizungumza katika kikao cha wafanyakazi wa Kampuni ya Tanzania Standard (Newspapers) Ltd Dar es Salaam jana, inayochapisha magazeti ya Daily News, HabariLeo na Spotileo, Nape ametaka magazeti hayo yasimung’unye maneno kwa kuandika...
Read More

No comments:

Post a Comment