RAIS DKT. JOHN MAGUFULI ASEMA "NIMEJITOA SADAKA KWA AJILI YA KUWATETE MASIKINI" AAPA KUENDELEA KUTUMBUA MAJIPU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDkt. John PombeMagufuli, akitoa hotuba wakati akiongeana wazee wa jiji la Dar es Salaam, kwenye ukumbiwa Diamond Jubilee, Jumamosi Februari 13, 2016.(Picha na Ofisi ya
Rais John Magufuli akiwapungia wazee wa Dar es salaam kabla ya kuzungumza nao kwenye ukmbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Februari 13, 2016. Wengine kutoka kushoto ni Mke wa Rais, Janet Magufuli, Makamu wa Rais, Samia Suluhu na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wazee wa Dar es salaam kabla Rais John Magufuli hajazungumza nao kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Februari 13, 2016.

No comments:

Post a Comment