Tuliobomolewa nyumba hatujatendewa haki’

By Bakari Kiango Mwananchi.bkiango@mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Wamiliki wa nyumba sita zilizobomolewa katika eneo la Kijiji Sanaa, Shekilango wamedai kuwa hawajetendewa haki kwani nyumba zao zilikuwa mbali na eneo linalostahili kubomolewa.

Februari 4, saa tatu asubuhi Kampuni ya Udalali ya Mem Auctioneers and General Brokers iliendesha ubomoaji huo, baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa amri ya watu waliojenga nyumba katika kiwanja M/S Cool Makers Limited kuondoka.

No comments:

Post a Comment