Uingereza Yammwagia Sifa Rais Magufuli Kwa Kasi Yake Ya Kukusanya Mapato na Kupambana Na Wala Rushwa

Nchi ya Uingereza imempongeza Rais John Magufuli kwa utendaji wa serikali yake hususani katika kupambana na ubadhirifu wa mali za umma na ufisadi, kwa siku chache alizokaa madarakani. Sifa hizo za Uingereza zimewasilishwa jana Ikulu jijini Dar es Salaam na Balozi wa nchi hiyo,, Balozi Dianna Melrose. Balozi Melrose alieleza kuwa nchi yake imeridhishwa na juhudu za Rais Magufuli katika kulinda...
Read More

No comments:

Post a Comment