WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa jana jioni (Ijumaa, Februari 19, 2016) alikagua bandari ya Tanga na kumtaka Mkuu wa Bandari ya Tanga (Port Master), Bw. Henry Arika amletee maelezo juu ya ukiukwaji wa manunuzi ya tishari ifikapo leo (Jumamosi) saa 6 mchana...

No comments:
Post a Comment