Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HELSB), George Nyatage kutokana na kuwepo na ukiukaji wa utoaji wa mikopo pamoja na ucheleweshaji usio kuwa na sababu za msingi. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Profesa Ndalichako amesema kuwa bodi ya mikopo imekuwa...
No comments:
Post a Comment