Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako Awasimamisha Kazi vigogo watatu taasisi ya elimu

JOYCE Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Bodi ya Taasisi ya Elimu nchini (TET) kwa kushindwa kusimamia   sheria ya manunuzi na kazi ya uchapaji wa vitabu ili kupisha uchunguzi Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Maimuna Tarishi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,...
Read More

No comments:

Post a Comment