WEMA SEPETU Hivi Huna Ndugu Wanaojitambua Wakakushauri? Where is Endlessfame? Drama Zina Mwisho Wake


Mnasemaje? Wema hakuwa na mimba? Mnamaanisha watu wazima kabisaaa mkaaminishwa na mkapost kwenye accounts zenu! jamani eeh Mimba si matangazo, mimba haijifichi msipate shida .
Mnajua nini? Inachekesha but inatia uchungu na huruma Sana! Mtu anawezaje ku fake maisha?

No comments:

Post a Comment