Wingu zito limetanda ndani ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhusu matumizi ya Sh bilioni 179.6 ambako kila kitambulisho cha taifa kimegharimu Sh 89,800 zikiwamo gharama za utawala Hayo yamebainika siku chache baada ya Rais Dk. John Magufuli kushangazwa na watendaji wa mamlaka hiyo ikizingatiwa vitambulisho vilivyokwisha kutengenezwa hadi sasa havifiki ...
No comments:
Post a Comment