BREAKING NEWS: BASI LA PRINCES MURO LAPATA AJALI ENEO LA KIMARA JIJINI DAR USIKU HUU

 Basi la kampuni ya Princess Muro lapata ajali baada ya kupoteza mwelekeo na kuingia kituo cha Magari ya Mwendo kasi Kimara jijini Dar es Salaam.Endelea kufuatilia taarifa zetu tutakujuza kwa kina taarifa hii.

No comments:

Post a Comment