DK.KIGWANGALLA AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI KWA WAUGUZI SITA WA HOSPITALI YA TEMEKE KWA KUOMBA RUSHWA

dk hk yyyNaibu waziri, wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,wazee na Watoto, Mh. Dkt. Hamisi Kigwangwalla pamoja na Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo ya rufaa ya Temeke, Dkt.Amani Malima wakiwa katika moja ya maeneo ya Hospitali hiyo mapema leo

dk hk nmNaibu waziri, wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,wazee na Watoto, Mh. Dkt. Hamisi Kigwangwalla (katikati) akisikiliza kwa umakini maelezo ya Mganga Mfawidhi wa hospiyali hiyo, Dk. Malima.

No comments:

Post a Comment