Jeshi la Polisi latahadhalisha kuhusu usalama katika kipindi hiki cha sikukuu za Pasaka

Tunapoelekea kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka ambayo inaanza kesho Ijumaa Kuu, Jeshi la Polisi nchini, linatoa tahadhari kwa wananchi,  kuwa makini katika suala zima la ulinzi na usalama wa maisha na mali zao.  Katika kipindi cha sikukuu baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vya uhalifu.  Hata hivyo, Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kwa kushirikiana...
Read More

No comments:

Post a Comment