Siku chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo kuwasimamisha kazi wauguzi watano wa Hospitali ya Butimba wilayani Nyamagana Mkoani Mwanza kufuatia uzembe uliopelekea vifo vya watoto mapacha, madaktari wa hospitali hiyo jana waligoma kwa saa kadhaa. Madaktari hao waligoma kutoa huduma kwa zaidi ya saa sita na kusababisha usumbufu mkubwa, wakidai kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na kutishwa...
No comments:
Post a Comment