Serikali Yatenga Bilioni 811 Zitakazotumika Kutekeleza Ahadi ya Rais Magufuli Ya Kukipatia Kila Kijiji Milioni 50

Serikali  imetenga jumla ya Sh bilioni 811 zitakazotumika kutekeleza ahadi ya Rais John Magufuli ya kukipatia kila kijiji Sh milioni 50 kwa ajili ya shughuli za maendeleo.  Imeelezwa kwamba serikali imeshaanza kushirikisha wadau mbalimbali kupata maoni ya jinsi ya kuendesha mpango huo kwa ufanisi na tija. Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) alisema...
Read More

No comments:

Post a Comment