Hatima ya kesi ya Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka kupinga kuilipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zaidi ya Sh500 milioni kutoka katika mgawo wa Sh1.62 bilioni zinazohusishwa na fedha zilizochotwa Akaunti ya Tegeta Escrow, itajulikana Machi 29, wakati Bodi ya Rufaa za Kodi (Trab) itakapotoa uamuzi. Tarehe hiyo imepangwa na Makamu Mwenyekiti wa Trab, Hakimu Agusta Mmbando baada...
No comments:
Post a Comment