Vodacom, Tigo, Airtel, Smart na Zantel Zapigwa Faini ya Mamilioni ya Pesa Na TCRA Kwa Kutoa Huduma Mbovu za Mawasiliano

Kufuatia malalamiko kuhusu huduma duni za mitandao ya simu nchini, Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imezitoza faini kampuni kwa kushindwa kuwajibika katika huduma zao.   Kampuni za simu zilizopigwa faini kutokana na kutoa huduma mbovu ni pamoja na Airtel, Smart, Tigo, Vodacom na Zantel. Pamoja na hivyo, zimetakiwa kuboresha huduma zake ndani ya miezi sita. TCRA imefanya tathimini juu...
Read More

No comments:

Post a Comment