BABY ESTHER NNKO'S FUNERAL UPDATES

MSIBA DMV


Baby Esther akiwa na wazazi wake, Emmanuel na Hawarita, kipindi cha uhai wake

Jana tumefanikiwa kupata sehemu ya kumuhifadhi mtoto wetu Esther Nnko.  Mtoto Esther tutamuhifadhi wiki ijayo April 20, 2016 kwenye makaburi ya Fort Lincoln. Bajeti ya mazishi ni $5,000.00. Hadi sasa tumefanikiwa kupata $3,000.00. Bado tunahitaji $2000.00 kwaajili ya kuwezesha mazishi ya mtoto Esther. Tunaomba kwa anaye guswa na msiba huu kusaidia kifedha ili tuweze kumuhifadhi mtoto Esther.

Michango inaweza kwenda gofundme:BABY ESTHER NNKO'S FUNERAL

Au:

Bank of America
Routing Number: 052001633
Account Number: 4460 3495 5701
Beneficiary: Hawa Kachingwe/Mother
Memo:  Baby Esther Funeral

Kama ilivyo ada ya uTanzania wetu ya kusalimia msima; msiba upo

3823 Hamilton St, Apt 103
Hyattsville, MD 20781

Tutaendelea kutoa taarifa kadri tunavyo karibia siku ya mazishi. Asanteni kwa mioyo yenu ya kusimama pamoja na sisi kwenye kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mtoto Esther.

The Family of Nnko
202-460-8638
301-367-6378

Bwana ametoa, Bwana ametwaa; jina lake lihimidiwe

No comments:

Post a Comment