Bomba la Mafuta Kutoka Uganda kuingiza Bilioni 4.8 Kila Siku

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema kuwa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga ukikamilika utaliingizia Taifa Sh4.8 bilioni kila siku. Amesema fedha hizo zitatokana na usafirishaji wa mapipa 200,000 kila siku yatakayotozwa dola 12.2 (zaidi ya Sh24,000) kila moja.  Profesa Muhongo alisema hayo jana alipozungumza na waandishi wa...
Read More

No comments:

Post a Comment