Deni la Taifa Lazidi Kupaa....Lafikia Shilingi Trilion 33. 5

Deni la Taifa limeongezeka kwa Sh7.05 trilioni, kutoka Sh26.49 trilioni Juni 30, 2014, hadi Sh33.54 trilioni sawa na ongezeko la asilimia 27.    Kwa mujibu wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Assad, deni la ndani ni Sh7.99 trilioni huku deni la nje likiwa ni Sh25.55 trilioni.   Akiwasilisha ripoti hiyo jana bungeni, alisema...
Read More

No comments:

Post a Comment