Treni ya kwanza ya abiria ya Deluxe kutoka Dar es Salaam kwenda bara itaondoka saa 2 asubuhi siku Jumapili Mei Mosi, 2016 kuelekea Kigoma. Kuanza kwa safari hiyo kunatokana na kutengemaa kwa eneo korofi baina ya stesheni za Kilosa mkoani Morogoro na Gulwe mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa taarifa ya Wakuu wa Idara za uendeshaji wa kampuni ya Reli Tanzania (TRL) iliyotolewa ...
No comments:
Post a Comment