Jiji la Dar es Salaam Kufumuliwa na Kupangwa Upya

Waziri wa Nyumba, Ardhi na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema Jiji la Dar es Salaam litafumuliwa na kupangwa upya baada ya Ramani ya Mipango Miji (Master Plan) mpya kukamilika. Pia, amesema Serikali ipo kwenye mkakati wa kuhakikisha ndani ya miaka 10 ijayo, ardhi yote nchini itakuwa imekamilika kupimwa na kupangwa kwa matumizi mbalimbali.  Akizungumza na wadau wa Sekta...
Read More

No comments:

Post a Comment