Kamishna Mkuu wa Zamani wa TRA na Wenzake Wawili Wanyimwa Dhamana

Baada  ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuondoa shitaka la utakatishaji fedha katika kesi inayowakabili Harry Kitillya, Shose Sinare na Sioi Solomoni, upande wa mashitaka umekata rufaa ya kupinga mwelekeo wa kuondolewa kwa shitaka hilo, anaandika Faki Sosi. Kitillya, alikuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA); Sinare, Mkuu wa Idara ya Ushirikiano na...
Read More

No comments:

Post a Comment