Taswira ya Daraja la Kimara, jijini Dar kama linavyoonekana.
VIVUTIO! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia uwepo wa madaraja ya juu katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam.
Mbali na kutumika kama kivuko kwa watembea kwa miguu, watu wengi wamekuwa wakiyatumia madaraja hayo kama sehemu ya utalii pindi wanapovuka katika madaraja hayo.
Mwandishi wa mtandao huu amezunguka maeneo mbalimbali ya jiji hilo na kukuandalia picha zifuatazo:






No comments:
Post a Comment