Mafuriko yafunga Barabara kuu Itokayo Dodoma Kwenda Morogoro kwa saa 10

Zaidi ya magari 1,500 jana, yalikwama katika eneo la Chalinze Nyama wilayani Chamwino mkoani Dodoma kwa zaidi ya saa 10, baada ya mafuriko kuziba barabara kuu itokayo Dodoma kwenda Morogoro. Mafuriko hayo yalitokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwa siku mbili mfululizo. Akizungumza katika eneo la tukio, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana alisema vyombo vya ulinzi na usalama vitakuwa...
Read More

No comments:

Post a Comment