SERIKALI ya Mkoa wa Dar es Salaam imesema kuwa katika kuweka jiji hilo safi imejipanga kuanza na mambo matatu ambayo ni kuwaondoa ombaomba wa barabarani, kuwabana wamiliki wa majengo makubwa yaliyojengwa kinyume na taratibu pasipokuwa na sehemu za kuegeshea magari na kuwaamuru wamiliki wa bar kutopiga muziki nje ya utaratibu wa vibali vyao. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...

No comments:
Post a Comment