Mvua zasababisha madimbwi Barabara ya Kijitonyama- Mabatini

1
5
Magari yakionekana kupita kwa tabu.
2
3
Yakiendelea kupita kwenye madimbwi hayo.
4
Waendesha bodaboda wakipita eneo hilo.
  6
Bajaj ikipita eneo la barabara hiyo ilipochimbika.
Na Denis Mtima/Gpl
MVUA zinazoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaam na maeneo mengine zimesababisha uharibifu wa miundombinu ya barabara hususan barabara inayopita katika Kituo cha Polisi cha Kijitonyama ‘Mabatini’.
Kamera yetu imenasa picha zinazoonesha sehemu korofi hasa iliyoharibika na kuchimbika vibaya kama inavyoonekana

No comments:

Post a Comment