Ndoo Walizobeba Kigogo wa Zamani wa TRA na Miss Tanzania Wakati Wakipelekwa Gerezani Zaibua Utata

Kitendo cha aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya pamoja na maofisa wawili waandamizi wa zamani wa Benki ya Stanbic, Tawi la Tanzania, Sioi Solomoni na Shose Sinare kubeba ndoo wakati wakitoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuelekea mahabusu, kimezua maswali mengi. Kitilya na wenzake hao walifikishwa kwenye mahakama hiyo na kusomewa makosa manane likiwamo...
Read More

No comments:

Post a Comment