RC Makonda: Ni marufuku kuwasaidia Ombaomba barabarani jijini Dar

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam  Paul Makonda amepiga marufuku wananchi wanaotoa Pesa kwa Omba omba kando ya barabara kwa kuwa wanachangia uwapo wa watu hao huku baadhi ya watu wakiwatumia watoto hao kujipatia kipato kinyume cha sheria. Akizungumza jijini dar es salaam Bw.Makonda amesema kumekuwa na Ongezeko kubwa la watoto katika barabara kadhaa za jiji la dar  wakijihusisha na Kuomba...
Read More

No comments:

Post a Comment