Kwa wale ambao mnaishi Marekani na mnahitaji/mnataka visheti(Mini Pastries), tunauza na kuship hapo ulipo. Mfuko mkubwa wa ziplock wa 2 pounds, ni $20, na unalipia shipping. Ni vizuri Kama snack, kwa chai, maziwa, kahawa hata maji.
Wasiliana na Shammy
No comments:
Post a Comment