Wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni Wajumbe wa Kamati ya Viwanda na Biashara wamemtaka Rais John Pombe Magufuli kulitumbua jipu shirika la umeme Tanesco kwa kununua transfoma kutoka nje ya nchi licha ya kumiliki asilimia 20% ya hisa katika kiwanda cha Tansfoma cha Tanalec kilichopo jijini Arusha . Kamati hiyo ya Bunge imebaini hayo wakati wa ziara yao ya kutembelea viwanda...

No comments:
Post a Comment