Dar es Salaam. Wahalifu wa mitandao wamedaiwa kuingilia akaunti za wateja wa Benki ya Biashara ya Standard Chartered na kuiba fedha kiasi ambacho hakijajulikana.
Mkuu wa Uhusiano na Masoko wa benki hiyo, Joanita Mramba alisema wamechukua hatua ikiwamo kuzuia kadi za kutolea fedha na kuanza mchakato wa kutengeneza kadi mpya ili kudhibiti wizi huo.
“Kwanza kabisa nawahakikishia wateja wetu fedha zao ziko salama na wasiwe na wasiwasi waendelee kufurahia huduma ya benki yetu.
No comments:
Post a Comment