Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka makatibu tawala wa mikoa nchini kuchukua hatua kali dhidi ya wote waliosababisha kuwapo kwa watumishi hewa. Amesema suala hilo la watumishi hewa limeisababishia Serikali hasara kubwa, hivyo ni lazima watu wote waliohusika katika sakata hilo wabainishwe na wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria. Majaliwa alisema hayo jana alipokuwa akipokea taarifa...

No comments:
Post a Comment