JEMBE FESTIVAL YAITEKA MWANZA

Ne-yo akiwa pamoja na Diamond Platnumz jukwaani wakitambulisha wimbo wao mpya.
Diamond Platnumz na vijana wake wakishambulia jukwaa kwenye tamasha la Jembe lililofanyika kwenye viwanja vya CCM Kirumba mjini Mwanza.
Msanii kutoka nchini Marekani Ne-yo akishambulia jukwaa na kuwapagawisha wakazi wa jiji la Mwanza .

No comments:

Post a Comment