1. WAROMBO; Hawa wajanja sana kibiashara/
wezi pia. wanapenda dili za magendo. Ni walevi
sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi
mjini. Wanaume wa Rombo wanachunwa sana
na wanawake wa Marangu na wanawaita
"vishohia". Wanawake wa Rombo ni mama
Huruma, wanaachia tu.. Ukioa Mrombo ujue
umeolea kijiji.
2. WAMARANGU; Ni wazuri sana wa sura na
umbo, wanavutia. Lakini wanawachuna sana
Warombo. Wanawake wa Marangu wana dharau
sana na wanaume ni waoga kuliko wanawake.
Mwanaume wa Marangu kupigwa na mkewe si
jambo la ajabu.
3. WAKIBOSHO; wanafanana na Warombo
lakini ni wavumilivu zaidi. Biashara kubwa
wanayofanya ni ya kuchinja... wengi wanamiliki
mabucha. Wana hasira sana na ni wakatili..
Akikuchoma kisu, siku ya mazishi anakuja kudai
kisu chake.
4. WAMACHAME; hawa ni wezi sana, ukifanya
nae dili umeliwa. Ni wasiri sana lakini wako
makini mno hasa kwenye pesa. Wakiwa na
hasira hawaoneshi waziwazi, so Mmachame
anaweza kukuua huku akitabasamu. Sio
waaminifu sana lakini wanaenda kanisani mara
nyingi zaidi kuliko Wachaga wote. Wanawake
wa machame wanaitwa 'Wapalestina'.. Mume
ukitajirika mkeo anakuua ili arithi mali.
5. WAURU; hawa hupenda kusoma sana lakini
hawapendi maendeleo kabisa. Hadi leo eneo
lao la Kishumundu linatumika ku-identify
wachagga washamba. Wanawake wakifikisha
umri wa miaka 40 hua wehu na wanaume huwa
vichaa mapema zaidi. Wanaume ni wavivu,
lakini wanawake ni wachapakazi hodari.
Wanazurura mjini na mabeseni wakiuza ndizi
mbivu.. Ukioa Uru jiandae kulea kichaa.
6. WASIHA; Kwanza hawapendi kuitwa
Wachagga. Wanajiita watu wa West-Kilimanjar
o. Ni mchanganyiko wa Wachagga na WaMeru.
Hawapendi shule ila wanapenda zaidi kazi za
ufundi na kilimo. Viazi vingi vya Chips Arusha
na Moshi vinatoka kwao. Wanawake zao wana
"vigimbi" mguuni sababu ya kulima mno.!
7. WAKIRUA; wanapenda sifa kama Wahaya.
Wanawake wa Kirua ni wachawi kupindukia..
Wanaloga hata jiwe ili tu alikomoe.. Wanaume
wa Kirua hawapendi kuoa kwao.. Hawapendi
kuishi mjini maana wanaogopa gharama.. lakini
siku wakija mjini wawili tu utadhani wako mia.
8. WA OLD-MOSHI; Hawa ni mafundi stadi wa
ujenzi wa nyumba, japo hawajengi kwao.
Mpaka leo hamna daladala ya kwenda Old-
Moshi inayoanzia Moshi mjini, maana ni
wabishi kulipa nauli na pesa inaishia kwenye
mbege njiani. Wanaume wamezoea kutoka
nyumbani saa kumi na moja alfajiri na kurudi
saa sita ya usiku kwa miguu.!
No comments:
Post a Comment