Kitendo Cha Kuchapisha Ramani ya Tanzania Isiyo Rasmi Ni Kosa Kwa Mujibu Wa Mamlaka.....Hii ndo Ramani Sahihi ya Tanzania


WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imebaini kuwepo kwa ongezeko la matumizi ya ramani ya Tanzania ambayo mipaka yake imepotoshwa. Upotoshwaji huu umefanywa kwenye “diary” (vitabu vya kumbukumbu na matukio), Kalenda, mabango, matangazo ya kwenye vyombo vya habari na sehemu nyinginezo. Jambo hilo la kupotosha mipaka ni hatari kwa usalama wa nchi.   Ili kuepusha upotoshaji...
Read More

No comments:

Post a Comment