LHRC Yaonya Kuhusu Picha za Uchi na za Kutisha

Kituo  cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeonya vitendo vinavyofanywa na baadhi ya watu kuchapisha picha za utupu ama za kutisha katika mitandao ya kijamii. Akizungumza na waandishi wa habari jana Jijini Dar es Salaam , Mkurungenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Dk. Helen Kijo Bisimba alisema kuwa, kumekuwa na matukio kadha yanayofanywa na watu juu ya kurekodi na...
Read More

No comments:

Post a Comment