Mahakama ya hakimu mkazi Ilala imeiamuru kampuni ya mawasiliano Tigo, kuwalipa shilingi bilioni 2.18 marapa Mwinjuma 'MwanaFA' na Ambwene Yessaya 'AY', kwa kosa la kutumia nyimbo yao kama Caller Tune(Mwitikio wa simu) bila ruhusa wala mkataba. Hukumu ya kesi hiyo iliyodumu kwa miaka 4 ilitolewa na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Juma Hassan. Ay na MwanaFA waliomba mahakama iwaamrishe...
No comments:
Post a Comment