Eneo la Mataa ya Ubungo walipokuwa wakiuzia nguo machinga baada ya kuondolewa na kupelekwa sehemu yao mpya ya kufanyia biashara iliyopo karibu na Stendi ya Simu 2000 ‘Mawasiliano’.
HII ni taswira ya eneo la Ubungo Mataa baada ya wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga kuondolewa eneo hilo kufuatia Mamlaka ya Jiji la Dar es Salaam kuwataka waliache wazi.
Mtandao huu umenasa picha kadhaa zikionesha eneo hilo lilivyo kwa sasa baada ya mwandishi wetu kulitembelea leo.
No comments:
Post a Comment