Rais Magufuli Aagiza Askari wa Usalama Barabarani Aliyetukanwa na Mke wa Waziri Apandishwe Cheo

Rais John Magufuli ameagiza Koplo Deogratius Mbango kupandishwa cheo baada ya kumdhibiti mke wa waziri mmoja wa Serikali yake aliyepambana na askari huyo wa barabarani baada ya dereva wake kufanya kosa eneo la Namanga jijini Dar es Salaam. Koplo Mbango alikumbana na tukio hilo baada ya dereva wa mke huyo wa waziri kusimama kwenye alama za kuruhusu watembea kwa mguu kuvuka barabara na alilazimika...
Read More

No comments:

Post a Comment