Rais John Magufuli ametetea uamuzi wake wa kuwatimua baadhi ya watumishi wa umma wanaokiuka maadili akisema anataka kuirejesha nchi kwenye mstari. Rais amesema hayo leo alipozungumza na waumini katika misa ya Jumapili katika Kanisa Katoliki parokia ya Tokeo la Bwana Burka jijini Arusha. Amesema watu katili ni wale ambao walikuwa wanawaibia Watanzania na kuwanyonya wanyonge. Amesema analazimika...
No comments:
Post a Comment