Serikali Yakata Rufaa Kwa Mara Pili Kupinga Bosi wa Zamani wa TRA na Wenzake Kufutiwa Shitaka la Kutakatisha Pesa

Upande wa Jamhuri umekata rufaa kwa mara ya pili katika kesi inayowakabili Harry Kitilya, Shose Sinare na Sioi Solomoni katika Mahakama ya Rufaa baada ya rufaa hiyo kukataliwa katika Mahakama Kuu. Kitilya, alikuwa Kameshina Mkuu wa katika Mamlaka ya Mapato Tanzania, (TRA), Sinare, Mkuu wa Idara ya ushirikiano na Uwekazaji Katika Benki ya Stanbic na Sioi, Mwanasheria wa Benki ya Stanbic Rufaa...
Read More

No comments:

Post a Comment