Jeshi la Polisi nchini limetoa wito kwa wamiliki wa silahi kujitokeza na kuhakiki silaha zao katika Wilaya wanazoishi kabla ya kumalizika kwa zoezi hilo mnamo Juni 30 mwaka huu. Hayo yalisemwa na Msemaji wa Jeshi hilo Kamishna Msaidizi Advera Bulimba alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam. “Serikali imetoa muda wa miezi mitatu kukamilisha zoezi hili...

No comments:
Post a Comment